Evangelism and Missions

About Us

Idara inayohusika kueneza Injili ndani na nje nchi

1. Kuwafanya watu wote wamfahamu na kumwamini Yesu Kristo.

2. Kuwafuasa wakristo wote kwa njia mbalimbali ili waukulie wokovu na kumtukia Bwana wao.

3. Kushirikiana na Makanisa yaliyopo katika huduma ya kujieneza yenyewe kwa kupanda makanisa.

4. Kuyarithisha Maono ya Umisheni kwa Viongozi / Wakristo wote ili kuwafikia watu wa tabaka zote.

5. Kuona kuwa Idara ni chombo cha kanisa kuratibu shughuli zote za kiuinjilisti, kiufuasi, upandaji wa makanisa na  umisheni ndani na nje ya nchi.

6. Kuweka mipango kazi kila mwaka na kusimamia utekelezaji wake, Kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji wa mipango kazi hiyo       kwa mwaka.

7. Kuwaunganisha/ Kuwahamasisha Wakristo kuombea na kujitoa wao wenyewe kafanaya uinjilisti na umishenari katka makanisa yote ya AICT.

8. Kubuni na kuanzisha vyanzo vya ndani vya mapato ili kuiwezesha idara kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kwa utukufu wa Mungu.

Other Members

Fullname Gender Position
RIOBA J. MOHEREMaleStudent of Theology
Elias ShigutaMaleMwinjilisti
ygleyhoytMale12
ralsburyphilMale12
nloronaceleMale12
Samson MakwayaMaleEvangelist
Image Title Posted on Action

+255 767 100 288 / +255 622 100 288

MAKONGORO MWANZA - TANZANIA