Sinodi kuu ya 84 AICT Buzuruga

#SINODIKUUYA84 Tunamshukuru Mungu Sinodi ya 84 imemalizika salama, Wajumbe wamepokea na kujadili taarifa ya Katibu Mkuu, Taarifa ya Fedha, Maboresho ya Katiba ya AICT pamoja na Mpango Mkakati wa Kanisa kwa mwaka 2025 hadi mwaka 2029.
Kupitia Sinodi hii Askofu Mkuu wa AICT Mussa Masanja Magwesela amezindua mtaala mpya kwa ajili ya mafunzo katika Jumuiya zetu pamoja na Kuzindua awamu ya pili ya Uchangiaji wa ujenzi wa ofisi kuu kwa hatua ya umaliziaji.
Washirika wenza wa Kanisa wamepata fursa ya kutoa salamu zao, 
Salamu za Serikali Zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg. Said Mtanda, 
na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt Angelina Mabula.

Mwanzo26:22. Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register
Comments
    No comments found