LATEST NEWS

  • img
    Bwiru Conference center ( BCC )

    Kituo bora cha Mikutano Jijini Mwanza.  HUDUMA ZETU NI:.. Kumbi kwa ajili ya Sherehe/ Semina/ Warsha/ Mikutano ya Bodi nk.. * Vyumba vizuri vya kulala * Fukwe nzuri kwa ajili ya Mapumziko na Kupiga Picha Wasiliana nasi sasa +255 798 035 129

    img
    Sinodi kuu ya 84 AICT Buzuruga

    #SINODIKUUYA84 Tunamshukuru Mungu Sinodi ya 84 imemalizika salama, Wajumbe wamepokea na kujadili taarifa ya Katibu Mkuu, Taarifa ya Fedha, Maboresho ya Katiba ya AICT pamoja na Mpango Mkakati wa Kanisa kwa mwaka 2025 hadi mwaka 2029. Kupitia Sinodi hii Askofu Mkuu wa AICT Mussa Masanja Magwesela amezindua mtaala mpya kwa ajili ya mafunzo katika Jumuiya zetu pamoja na Kuzindua awamu ya pili ya Uchangiaji wa ujenzi wa ofisi kuu kwa hatua ya umaliziaji. Washirika wenza wa Kanisa wamepata fursa ya kutoa salamu zao,  Salamu za Serikali Zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndg. Said Mtanda,  na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt Angelina Mabula. Mwanzo26:22. Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.

  • No events posted

See rest of events
  • 1Mambo ya Nyakati 19:13

    Uwe hodari, tukajitie moyo mkuu kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.

    — 1Mambo ya Nyakati 19:13