Charles S. Salalah profile Bishop
Biography
Nilizaliwa katika familia ya Kikristo na nilibatizwa mwaka 1962 lakini nilikutana na Yesu na kubadilisha maisha yangu mwaka 1967. Hii kwangu ilikuwa Luzu yangu kama Yakobo alivyokutana na Bwana alipoondoka kwa wazazi waote. Mwaka 1968 nilijiunga na chuo cha Biblia na safari ya kumtumkia Bwana ilianzia hapo.