Margareth P. Ndaki profile
Biography
Nilianza huduma ya Mungu katika dayosisi ya Tabora, mara tu ilipo anzishwa kwa ngazi ya ukatibu, nimetumikia kwa kipindi hicho kama katibu mpaka mwaka 2014, nikachaguliwa kuwa mwenye kiti wa idara ya wanawake na watoto Dayosisi ya Tabora.
Contacts
- 0754 763 004
- 0786 880 260