Agnes K. Jewe profile
Biography
Nilianza kumtumikia Mungu mwaka 1997 kwa nafasi ya ukatibu Idara ya wanawake na watoto hadi 2014. Kuanzia mwaka 2014 nilichaguliwa kuwa mwenye kiti wa idara ya wanawake na watoto Dayosisi ya Geita, hadi sasa ninaendelea na nafasi hiyo. Nimekuwa mjumbe wa H/Kuu na mkutano wa CCT tangu 2002 hadi 2012, lakini pamoja na kumtumikia Mungu nimekuwa mwalimu wa shule ya Msingi tangu mwaka 1979 hadi mwaka 2016, nilipotimiza Umri wa kustaafu kwa Mujibu wa sheria katika serikari yetu ta tanzania.
Contacts - 0754 062 842