Joseph M. Kahungwa profile
Biography
Kuzaliwa 07.10.1966,
Elimu; - masters in business administration(MBA) at University of Dar es salaam (2003-2005)
- Bachelor of Commerce (Accounting) (1987-1991 march)
Kazi; -mfanya Biashara sekta za hoteli, apartments, madini
-mjumbe wa bodi ya TCCIA Investment Company
Nafasi zingine; -mwenyekiti kamati bodi ya ukaguzi- TCCIA Investment Company
- Makamu wa raisi kilimo (Tanzania Chember of Commerce, Industry and agriculture.
Huduma kanisani.
- Mwenyekiti wa Idara ya uchumi mipango na maendeleo AICT.
- Mjumbe bodi ya chuo cha Theolojia cha Nasa (NTC)
- Mjumbe wa idara ya theolojia na biblia AICT
- Katibu wa AICT – pastorate ya Makongoro kanisa kuu mwanza.
Contacts
-0754 398 732
-0787 991 309