Sifa E. Mgema profile
Biography
Nilimwamini yesu tangu mwaka 1980 na kubatizwa mwaka 1981 na mchungaji Bathoromayo Ihema, katika kanisa la Buhima Nassa tangu mwaka 1985, nilianza kufundisha shule ya watoto(Sunday school) Mwaka 1983-1984 nilianza kujitolea kamamhudumu katika kituo cha afya cha AICT Buhima Nassa, kisha nilichukua mafunzo ya mwaka mmoja ya uuguzi na kisha kufanya kazi katika hospitali ya Mkula na Bugando. Nilistaafu kwa hiari na kuanzisha huduma ya wazee walio katika mazingira hatarishi ambayo nliwashirikisha wanawake katika kanisa. Nashukuru mungu. Mwenyekiti Idara ya wanawake na watoto dayosisi ya mwanza. Ninaongoza idara ya wanawake na watoto katika dayosisi ya mwanza amabyo inapastoret 110 na local Church 500.
Contacts -0753 789 085