Rahel Dotto Nkulukulu profile
Biography
Nlianza uongozi mwaka 2008 katika pastoriet ya Bariadi. Pia nlitumika katika chalo cha Bariadi mwaka 2014 nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa idara ya wanawake na watoto katika dayosisi ya shinyanga na mpaka sasa naendelea kumtumikia mungu kwa nafasi hiyo kama mkuu wa idara nilibatizwa 1992 na nilifunga ndoa mwaka 1992.
Contacts - 0784 965 444