Martha M. Zakayo profile
Biography
Nilianza uongozi mwaka 2006 katika pastoreti ya chang’ombe, mwaka 2000 nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa dayosisi ya pwani idara ya wanawake na watoto na mwaka 2014 nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Idara ya wanawake na watoto A.I.C.T.
Contacts
- 0753 999 812
- 0784 546 103