Fauster Mkaluka profile
Biography
Mimi nilimwamini yesu Kristo mnamo mwaka 1973 mwezi wa sita na kubatizwa mwaka 1974 mwezi wa kumi na mbili. Nilianza kumtumikia Mungu mnamo mwaka 1977 na kuanza kufundisha watoto wa shule ya jumapili semina za wanawake, lakini niliwahi kuchukua mafunzo ya Biblia ya miez 6 mpaka mwaka mmoja. Nilianza kuwa kiongozi wa idara ya wanawake mwaka 2002-2017.
Contacts - 0764 864 590