SINODI YA 28, MAKONGORO MWANZA, TAREHE 20-21/2022

Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufanikisha Sinodi ya 28 ambayo imehudhuriwa na wajumbe 304, Ofisi ya Askofu kupitia katibu Mch. Philipo Kanwele imetoa taarifa ya Katibu wa Dayosisi ya Mwanza.

    Wajumbe wa Sinodi wamemchagua Mch. Japhet Kafugo kuwa Mchungaji msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Mwanza, pia Mwnj. Eliada Bujiku amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Balaza la Fedha Dayosisi Mwanza na wajumbe wake ni Kelebe Luteli, Jackson Songora na Deus Kadiko.

Wachungaji wawakilishi wa kanda ni Mch. Paul L. Salala ( Magu & Busega ). Mch.Zablon Kashinje ( Misungwi ). Mch. Mathias M. Kadinda ( Kwimba ).