Biography
Mch. Yeremia Mahalu alichaguliwa na Sinodi kuwa Mkurugenzi wa kwanza wa AICT katika kikao kilichokaa Februari 4-5, 1958 na baadaye Sinodi ya 1965 ilibadilisha jina la Mkurugenzi kuwa Askofu na hivyo Mchungaji Yeremia Mahalu Kisula alikuwa ni Askofu wa kwanza wa AICT. Akiwa Mkurugenzi wa EEK, Mch. Kisula aliendelea kumtumikia Bwana katika maeneo mbali mbali. Baada ya uchaguzi wa Askofu uliofanyika mwaka 1965 iliazimiwa kuwa Askofu Kisula ahamie Makongoro, Mwanza Septemba 25, 1965.
Posts
No posts made yet by this leader
Photos
No photos uploaded yet
Yeremia Mahalu Kisula profile
Position: Bishop
Full names: Yeremia Mahalu Kisula
Date Of Birth: 26/03/2026
Married to: Leya Kahabi Magikila
Diocese(s): Joined MWANZA in