Charles Shilagi Salalah

Biography

Sinodi ya Uchaguzi ya AICT ilimchagua Mchungaji Charles S. Salalah kuwa Askofu wa AICT Dayosisi ya Pwani Machi 21, 1997 baada ya kustaafu kwa Askofu Methusela Paulo Nyagwaswa, Askofu wa kwanza wa AICT Dayosisi ya Pwani. Askofu Mteule Charles S. Salalah aliwekwa wakfu kuwa Askofu wa Pili wa AICT Dayosisi ya Pwani Julai 20, 1997.

Posts

No posts made yet by this leader

Photos

No photos uploaded yet

Charles Shilagi Salalah profile

Position: Bishop


Full names: Charles Shilagi Salalah

Date Of Birth: 26/03/2026

Married to: Mariam Nyanzobe Selya

Diocese(s): Joined PWANI in