Biography
Mwaka 1980 aliwekewa mikono kuwa Mchungaji wa AICT na mwaka 1984 alichaguliwa na Sinodi ya AICT kuwa Askofu wa pili wa AICT; aliwekwa wakfu Agosti 28, 1985. Askofu Nyagwaswa aliendelea kuwa Askofu mmoja hadi mwaka 1993 wakati mfumo wa Dayosisi ulipoanza.
Posts
No posts made yet by this leader
Photos
No photos uploaded yet
Dkt Methusela Paulo Nyagwaswa profile
Position: Bishop
Full names: Dkt Methusela Paulo Nyagwaswa
Date Of Birth: 05/09/1931
Married to: Josephine Mwambi
Diocese(s): Joined PWANI in