Pastor Marco M. Ngalu

Marco M. Ngalu profile Pastor

  • Full names:
    Marco M. Ngalu
  • Church:
    Tabora
  • Pastorate name:
    Tabora
  • Diocese name:
    TABORA
  • Date Of Birth:
    14/9/1972
  • Married to:
    Shella Martha Leonard
  • Joined Pastorship in:
    2003

Biography

Mchungaji Marco M. Ngalu alizaliwa Isike, Sakwe, Bariadi mkoa wa Simiyu. Amehitimu shule ya msingi, Ibulyu Mwaka 1990 akaingia mafunzo ya mgambo mwaka 1991. Alimwamini Yesu kuwa mwana na mwokozi 1985 na kubatizwa mwaka 1987 na Mch. Shadrack Masele, Bariadi Simiyu. Mwaka 1993 akaiunga na chuo cha Biblia Majahida na kuhitimu mwaka 1997. Mwaka 1995-1997 alishika nafasi ya Mwenyekiti wa bweni chuoni. Alifungishwa ndoa mwaka 1998, Nov 21 na Mch Yakobo Malale wa pastorate ya Mwamunkesha Kanadi Bariadi. Mwaka 1997-2003 alikuwa Mwinjilisti local church ya Nyamilyango, pastorate ya Kasota, Geita. Mwaka 2002 alichaguliwa kujiunga na chuo cha Uchungaji na kutumwa pastorate ya Kasulu, Kigoma tangu 2003 hadi 2008.Mwaka 2008 hadi 2015 alihamishiwa pastorate ya Igunga, Tabora. Akiwa mwenyekiti wa chalo cha Mwambiti. Mwaka 2015 alichaguliwa kuwa Mchungaji msaidizi wa Askofu, dayosisi ya Tabora hadi sasa. Mchungaji Marco M. Ngalu pia ni mwenyekiti wa EKD Tabora.

Posts

    No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.