Pastor Alphonce Samambile Tambalu

Alphonce Samambile Tambalu profile Pastor

  • Full names:
    Alphonce Samambile Tambalu
  • Church:
    Tabora
  • Pastorate name:
    Tabora
  • Diocese name:
    TABORA
  • Date Of Birth:
    30/6/1964
  • Married to:
    Salome Joseph
  • Joined Pastorship in:
    28/1/1996

Biography

Nimesoma shule ya msingi Ng'wakiyenze wilayani Misungwi Mwanza tangu 1975-1981 nilipohitimu nilijiunga na chuo cha Biblia cha Katungulu tangu 1987-1990 nilipohitimu. Nimekuwa mwinjilisti katika kanisa la AICT tangu 1990-1995 nilipoteuliwa kujiunga na chuo cha uchungaji kwa kuchukua kozi ya miezi mitatu katika fani ya Uchungaji huko Bwiru Mwanza ikiwa 1/6/1995. Niliwekewa mikono kuwa Mchungaji tarehe 28/1/1996 katika Pastorate ya AICT Bujora Mwanza. Nimekuwa katibu mkuu wa dayosisi ya Mwanza tangu 2005-2007. Baadae nilienda kusoma katika chuo cha Theologia cha Nassa Bulima, miaka minne tangu 2007-2011 nilipohitimi na kutunukiwa cheti cha Diploma ya juu na tangu 2011 hadi sasa ni katibu mkuu wa dayosisi ya Tabora. Nilimwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu tarehe 10/4/1980 AICT Matale, Pastorate ya Sasi, Mwanza. Nilibatizwa tarehe 29/5/1982 katika maji ya mto Kisiwi huko Matale. Mchungaji aliyenibatiza ni Mch Jonathan Gwabo.

Posts

    No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.