MAAZIMISHO YA MIAKA 21 YA DAYOSISI YA MWANZA photos

  • Maaskofu wa AICT, wakiwa kwenye maazimisho ya miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza.
  • Hii ni moja ya kwaya za AICT ikiimba kwenye maazimisho ya miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza.
  • Baadhi ya vijana wa kanisa la AICT, wakiazimisha miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza.
  • Baadhi ya wanakwaya wa kanisa la AICT, wakisubiria kuimba kwenye maazimisho ya miaka
  • Askofu John Kanoni Nkola akihubiri katika ibada ya jioni siku ya Jumamosi kwenye maazimisho
  • Baadhi ya Wakristo wa kanisa la AICT, wakiazimisha miaka 21 ya dayosisi ya Mwanza.
  • Wachungaji na viongozi wa kanisa la AICT, wakiwa kwenye jukwaa kuu katika maazimisho ya miaka 21 ya