IBADA YA KUMWEKEA WAKFU, ASKOFU JONH BUNANGO MUDITI NA KUMSIMIKA KAZINI. photos

  • AICT Makongoro kwaya wakiimba.
  • Tukio la kumwekea mikono Askofu mteule John Bunango Muditi likikaribia.
  • Maaskofu wakijiandaa kumwekea mikono Askofu mteule John Bunango Muditi. kuwa Askofu wa dayosisi ya M
  • Tukio la Ibada ya kumuwekea mikono likiwa linaendelea.
  • Maaskofu wakisoma mistari yao kutoka kwenye biblia maalumu kwa Askofu John Bunango Muditi.
  • Askofu John Bunango Muditi, akiwa na mke wake baada ya kuwekewa mikono.
  • Mgeni rasmi, Makamu wa Raisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akielekea jukwaani kutoa hotuba.
  • Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimpongeza Askofu John Bunango Muditi.
  • Katibu Mkuu wa AICT na Katibu wa Dayosisi ya Geita wakimpongeza Askofu John Bunango Muditi.
  • Mgeni rasmi, Maaskofu na Viongozi mabalimbali wakijiandaa kuchukua picha ya pamoja.
  • Tukio la picha ya pamoja likianza.
  • Tukio la picha ya pamoja likiendelea.
  • Tukio la picha ya pamoja likiendelea.
  • Tukio la Picha ya pamoja likikamilika.
  • Mgeni Rasmi, akiaga tayari kwa kuondoka uwanjani.
  • Kwaya ikiimba.
  • Askofu John Bunango Muditi, akiwa na mke wake baada ya ibada ya kumwekea wakfu kuisha.
  • Waumini mbalimbali wakimpongeza Askofu John Bunango Muditi.