UFUNGUZI WA MADARASA NA OFISI YA CHUO CHA UUGUZI KOLANDOTO. photos

  • Shughuli ya kuweka jiwe la msingi la majengo ya Chuo cha uuguzi Kolandoto ikitaka kuanza.
  • Maandalizi yakiendelea.
  • Askofu Mkuu, akikata utepe, tayari kwa kuweka jiwe la msingi.
  • Askofu Mkuu akielekea kufungua jiwe la msingi.
  • Askofu Mkuu, akiweka rasmi jiwe la msingi.
  • Shughuli ya ufunguzi ikiendelea.
  • Shughuli ya ufunguzi ikikamilika.
  • Wahitimu wa mafunzo ya unesi.
  • Baada ya kuweka jiwe la msingi.
  • Jiwe la msingi baada ya uzinduzi.
  • Jiwe la msingi.
  • Ndani ya moja ya darasa jipya.
  • Darasa jipya.
  • Wakitoka inje ya darasa baada ya ufunguzi rasmi.
  • Moja ya darasa la uuguzi linavyoonekana kwa ndani.
  • Jinsi madarasa yanavyoonekana kwa inje.
  • Zoezi la kupanda miti likianza.
  • Zoezi likiendelea
  • Zoezi la upandaji miti likiendelea.
  • Askofu Mkuu, akijiandaa kupanda mti.
  • Zoezi likiendelea
  • Askofu Mkuu akianza kupanda mti.
  • Askofu Mkuu, akimalizia kupanda mti mbele ya madarasa yaliyofunguliwa rasmi.
  • Katibu Mkuu akianza zoezi la kupanda mti.
  • Katibu Mkuu akimalizia kupanda mti.
  • Mwenyeketi wa bodi ya Afya, akianza kupanda mti.
  • Mwenyeketi wa Bodi, akimalizia kupanda mti.
  • Viongozi, wahitimu na watu mbalimbali wakiwa wamekusanyika mbele ya jengo baada ya shughuli ya kufun