UFUNGUZI WA CHUO CHA UUGUZI MKULA HOSPITAL photos

  • Wanafunzi wa chuo wakiimba
  • Haya ndio majengo ya Chuo cha Bishop Kisula College
  • Mgeni rasmi Raisi Kikwete akisaini fomu mbele ya Askofu mkuu Silas Kezakubi
  • Raisi akipiga Picha ya Pamoja na viongozi wote wa AICT na hospital ya Mkula
  • Tukio la kuchukua picha likiendelea
  • Raisi akiendelea kuchukua picha na viongozi wa AICT na wakiserikali
  • Tukio la picha likiendelea kufanyika
  • Raisi akiendelea kuchukua picha na waalikwa wake
  • Raisi akisalimiana na wafanyakazi wa Chuo hiki
  • Raisi akielekea kufungua jiwe la msingi la chuo hiki cha Uuguzi