Biography
KITAALUMA: KASEHA, Wilson Mengi alisoma Shahada ya Umahiri ya Ufuatiliaji na tathimini chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro Tanzania. Ni Mwanasayansi ya Maabara za afya Tiba aliyesajiliwa na baraza la Usajili wa wanataaluma wa Sayansi ya Maabara Afya Tiba Tanzania. Alisoma shahada yake ya kwanza ya Sayansi ya Maabara za Afya Tiba Chuo kikuu cha Ki-Kristo cha Kilimanjaro (KCMUCo). Alisoma Stashahada ya Teknolojia ya Maabara nchini Kenya Chuo cha Kisumu (Kisumu Polytechnic).
Amefanya Kazi ya Uhadhiri, Ukuu wa Idara ya Sayansi ya Maabara katika Kitovo cha cha Tiba katika Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Kampala nchini Tanzania (Kampala International University in Tanzania - KIUT) kwa Zaidi ya miaka sita (6).
AMewahi kuwa Mratibu wa huduma/shughuli za kimaabara wa Wilaya ya Hai-Kilimanjaro kwa zaidi ya miaka minane (5)
Amekuwa Meneja wa Maabara ya Wilaya ya Hai kwa muda wa miaka mitatu (3)
Kaseha Wilson Mengi
Position: N/A
Diocese: GEITA
Date of Birth: 29/05/1981
Started: 2022