Pastor Henry Jonathani Kanyumi

Henry Jonathani Kanyumi profile Pastor

  • Full names:
    Henry Jonathani Kanyumi
  • Church:
    Tumaini
  • Pastorate name:
    Igoma
  • Diocese name:
    MWANZA
  • Date Of Birth:
    2/1952
  • Married to:
    Esther Kanyumi
  • Joined Pastorship in:
    1985

Biography

Mimi nilizaliwa katika kijiji cha Nyamahona wilaya ya Sengerema, nilimaliza masomo ya shule ya msingi 1967 Katungulu Upper primary school. Nimepitia kozi ya chuo cha Biblia Katungulu miaka 4 tangu 1977-1980. Nilipata mafunzo ya uhamasishaji rasmali miaka 2 tangu 2008-2010 nikapata cheti cha Diploma. Nilihudhuria mafunzo ya ifikopo 2009 miezi 2. Nimepata mafunzo ya Pastor's course mwaka 1985. Mafunzo ya kuelimisha watu wenye Ualbino, elimu ya jamii kuunda vikundi vya pamoja. Nimeongoza Pastoate ya Makongoro, Tabora, Misasi, Igoma, Nyanguge, Idara ya Injili na Misheni, mhazini AICT, Katibu wa sinodi.

Posts

    No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.