Pastor Charles B. Sanagu

Charles B. Sanagu profile Pastor

  • Full names:
    Charles B. Sanagu
  • Church:
    Magomeni
  • Pastorate name:
    Magomeni
  • Diocese name:
    PWANI
  • Date Of Birth:
    11/6/1970
  • Married to:
    Sarah H. Zakayo Nkulokulu
  • Joined Pastorship in:
    June 2003

Biography

Nilizaliwa tarehe 11 June 1970 katika kijiji cha Kalangalala, Sengerema na kusoma elimu ya msingi katika kijiji cha Ikindilo Bariadi Shinyanga. Namshukuru Mungu kunipa neema ya kumjua mnamo tangu mwaka 1987 na kubatizwa 1989. Mwaka 1994 nilipata wito wa kwenda kumtumikia Mungu, na kabla ya kutimiza ndoto hii nilipata neema ya kujiunga na chuo cha biblia Majahida tangu tarehe 22/8/1994 hadi tarehe 16/7/1998 na kuanza huduma ya uinjilisti tarehe 27/7/1998 ukerewe na kujiunga na chuo Uchungaji. Nimekuwa mchungaji kibaha, chang'ombe, bagamoyo, changanyikeni na sasa ni Mchungaji Magomeni na msaidizi wa Askofu Pwani.

Posts

    No posts made yet by this leader

Photos

Mchungaji Paul Mabula Kengele akiwa na mke wake.