SAFARI YA KWENDA KUANZISHWA KWA KANISA LA AICT-BURUNDI

Idara ya Injili na Misheni makao Makuu, wanakushirikisha kuombea safari ya Umisheni nchini BURUNDI yenye madhumuni ya kuanzishwa kwa kanisa la 
AIC- BURUNDI itakayofanyika tahehe 1-5/5/2014. Safari hiyo itakuwa na jumla ya watumishi thelathini (30).


Mambo ya kuombea ni:-

  1. Uwepo wa Mungu katika safari hii.
  2. Upatikanaji wa Fedha za safari.
  3. Upatikanaji wa gari la safari.
  4. Mafanikio ya safari hiyo.

Tuma chango wako kwenye Akaunti:-

AICT IDARA YA INJILI.

A/C NO. 5400477002 

TWIGA BANCORP-MWANZA

Tangazo hili limetolewa na Mratibu Mkuu Idara ya Injili na Misheni.


You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register
Comments
    No comments found
Connect with us