Ibada ya KUMSIMIKA kazini Askofu wa Tatu wa AICT Dayosisi ya Pwani Askofu PHILIPO MAFUJA MAGWANO
Ibada ya KUMSIMIKA kazini Askofu wa Tatu wa AICT Dayosisi ya Pwani Askofu PHILIPO MAFUJA MAGWANO, Imeongozwa na Askofu mkuu wa AICT Askofu Mussa M. Magwesela, Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Philip I. Mpango, Katika kanisa la AICT MAGOMENI Dar es Salaam, Tarehe 29/01/2023
Comments