UJENZI WA OFISI ZA MAKAO YA AICT MWANZA

Ujenzi wa ofisi za makao makuu ya AICT umeendelea tangu tarehe 28/07/2023 baada ya kusimama kwa miaka mingi, hadi kufika tarehe 22/12/2023 kazi ya ujenzi kwa hatua ya ghorofa ya kwanza na ghorofa ya pili umeendelea vizuri kama picha zinavyoonesha, Tunawaomba Wakristo wa AICT, Marafiki zetu na Wadau wetu mbalimbali kuendelea kuchangia ujenzi huu kwa hatua ya ghorofa ya tatu na ghorofa ya nne, Hakika tunayaweza mambo yote katika yeye atutiae nguvu

You must sign in to comment.Click Here to Sign In or Here to Register
Comments
    No comments found